Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema katika mchezo wa kesho wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ili kufuzu ...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepata tuzo ya ushindi wa utoaji wa huduma bora za afya kwa mwaka 2025 katika kundi la ...
Kiungo wa Yanga Khalid Aucho atakosekana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam kutokana na jeraha la nyama ya paja ...
Taasisi ya kifedha ya EFTA na GSM zimesaini mkataba wa makubaliano ya kusaidia wakulima na wafanyabiasha wadogo na kati ...
Akizungumza Aprili 7,2025 Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Ilala, Waziri Mwenyevyale, amesema wanachama hao wamekiuka katiba ya ...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema wamechukua hatua kuhakikisha wanakuza uandishi bunifu ...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Onesmo Ole Ngurumwa amekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...
Timu ya soka ya Dream FC ya Ferry Kigamboni imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Samia Cup kwa kuichapa Wahenga FC mabao ...
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Taifa unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ...
Maisha huwa na changamoto zake na watu huweza kuzipitia kwa njia mingi. Watu wengine hupoteza imani kabisa na hata wengine hufikia mahali pa kijitoa uhai. Hii ilikuwa ni sawia kabisa na hali katika ...
Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel amesema wanajivunia maboresho makubwa yaliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ...
Klabu tatu za gofu zinatarajia kuchuana katika mashindano ya Ukanda wa Pwani ‘ Coastal Open Inter – Club yatakalofanyika kwa ...