Kitendo kile ni shambulio dhidi ya Diplomasia na Demokrasia Afrika', alisema Masoud. Mbali na kiongozi huyo ambaye ni mwenyekiti wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo Tanzania, alikuwepo pia ...
Bunge la Ghana lilipiga kura ya kukomesha kabisa hukumu ya kifo mnamo Julai 2023. Kwa Afrika, adhabu ya kifo haitekelezwi sana, licha ya hukumu ya adhabu hiyo kutolewa. Kwa mfano Tanzania ...
KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imelipongeza Shirika la Reli Nchini ... Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi uendeshaji kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) Focus Sahani ameeleza kuwa ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya ... zaidi hapa Tanzania na ni moja kati ya majengo matatu marefu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Lina jumla ya ghorofa 35 na urefu wa mita 156.65. Jengo hili ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imesema imeridhishwa na uwekezaji wa miundombinu ya elimu inayoendelea kutekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Mikoa ya Tanga ...
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba wabunge wa Bunge la Tanzania kuunga mkono agenda mbalimbali za maendeleo yanayotakiwa kufanyika mkoani Arusha ili kuupaisha mkoa kiuchumi. Makonda ...
SERIKALI imelieleza Bunge itaendelea ... mradi wa kuboresha eneo la Bwawa la kuhifadhi maji ya mvua la Swaswa-Mnarani. Alitaja miradi mingine ni wa kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza usalama wa ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ... "Naibu waziri wa ujenzi, kwenye eneo la mradi wa uwanja wa ndege unaosimamia na Tanroads (Wakala wa Barabara Tanzania) hakikisheni mikataba ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuwalipa ... Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Uwekezaji, Mipango na Utafiti wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Renata Ndege amesema ...
Nchini Chad, Bunge la Seneti la kwanza katika historia ya nchi hiyo limemchagua rais wake siku ya Ijumaa, Machi 7, 2025: Haroun Kabadi ameteuliwa kwa shangwe za maseneta 69 waliochaguliwa hivi ...
Katika hali hii, Tume ya Uchumi na Fedha ya Bunge la taifa la DRC itaendelea na kazi yake ya kusikiliza wajumbe kadhaa wakuu wa serikali: Naibu Waziri Mkuu anayeshughulikia Mambo ya Ndani na ...
Birth-related mortality is a major contributor to the burden of deaths worldwide, especially in low-income countries. The Safer Births Bundle of Care program is a combination of interventions ...