News
Mnamo Mei 1, wakati wa ukaguzi wake wa mara kwa mara, Kenya ilinyooshewa kidole cha lawama na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu, ambayo ilishutumu hasa ghasia za polisi na ...
Moscow iliitupia pia lawama Ukraine kwamba inayakwepa mazungumzo ya kina ya kuumaliza mzozo kati yao. Hayo yameelezwa Jumamosi na Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov akisisitiza kuwa ...
PRIME Simba v Berkane ngome mpya, historia mpya ugumu uko hapa! NI Jumapili ya kihistoria Mei 25, 2025. Macho na masikio ya Afrika yapo Zanzibar kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, ambako kutapigwa ...
Serikali imejiweka kando kwenye Dabi ya Simba na Yanga ikisema haiwezi kuingilia mipango ya mpira kwa kuwa inakiuka sheria za ligi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na ...
Dodoma. Serikali imejiweka kando kwenye mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ ikisema haiwezi kuingilia mipango ya mpira kwa kuwa inakiuka sheria za ligi. Kauli hiyo imetolewa na ...
Migori. Katika hali isiyo ya kawaida, Rais wa Kenya, William Ruto, amejikuta akipigwa na kiatu mkononi kilichorushwa kutoka kwenye umati wa watu aliokuwa akiwahutubia katika mji wa Kehancha Magharibi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results