Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Taiwan na kutolewa Septemba 2022, ulibaini kwamba miguu ya kuku ni chanzo kizuri cha ...
Mkutano wa G20 wa Afrika Kusini ulitarajiwa kuwa fursa kwa mataifa tajiri, yenye nguvu kutilia maanani masuala ya nchi ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata mtu mmoja anayejifanya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwa na ...
Juhudi za Dickson Mbadame, mkazi wa Songwe kujinasua katika kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumbaka shemeji mwenye umri wa miaka 10, zimegonga mwamba.
Serikali imetaja mkakati wa ukarabati wa meli katika Ziwa Tanganyika na kuwa mwezi ujao (Machi) ujenzi wa meli ya Mv Sangara ...
Kipande cha video kilichowekwa mtandaoni kinamuonyesha, nyangumi huyo akiinuka kutoka kina kirefu cha maji kisha kummeza, Adrian na kutoweka naye.
Utafiti wa uliofanywa nchini Marekani umegundua kuwa maumivu hayo ni makali zaidi kuliko maumvu ya uchungu wa uzazi, majeraha ...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, itaanza kutoa huduma ya matibabu kwa kuwafuata nyumbani wenye magonjwa ya ...
Hii ni mara ya kwanza kwa Lissu kwenda kwao Wilaya ya Ikungi mkoani Singida tangu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Januari 21, 2025.
Wateja wakiwa wanafanya manunuzi ya zawadi za Siku ya Wapendanao maarufu ‘Valentine's Day’ kama walivyonaswa na kamera ya Mwananchi leo Ijumaa Februari 14, 2025 maeneo ya Mtaa wa Tandamti, Kariakoo ...
Moto ambao chanzo chake hakijafahamika, umeteketeza bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Makanya iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results